
Mabadiliko Ofisi ya Rais yalivyowaibua wadau
Dar es Salaam. Mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan Juni 6, 2024 yamewaibua wadau na wachambuzi wa masuala ya siasa na utawala, baadhi wakishauri uchunguzi wa kina uwe unafanyika kwa wateule wa Rais, ili kuepusha mabadiliko ya mara kwa mara. Wamesema Ofisi ya Rais inatakiwa kuwa na utulivu, hasa wakati huu nchi inapoelekea kwenye uchaguzi…