Waziri atoa mwezi mmoja Mfumo wa Mipaka kufanya kazi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na askari wa idara ya uhamiaji ya nchini Burundi wakati wa ziara ya ukaguzi wa Mpaka wa Manyovu unaotenganisha nchi ya Tanzania na Burundi.Waziri Masauni yuko katika ziara ya kikazi mkoani Kigoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Mkuu wa wilaya ya Buhigwe,…

Read More

WAPIGAKURA 11,936 KUPIGA KURA KWAHANI

Na Mwandishi wetu, Wapiga kura 11,936 wanatarajiwa kupiga kura kesho tarehe 09 Juni, 2024 kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 07 Juni, 2024 jijini Dar es…

Read More

Nyama Choma Festival ilivyofana Butiama

Butiama. Mamia ya Wakazi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejitokeza katika mashindano uchomaji nyama yaliyozinduliwa kwa mara ya kwanza wilayani huyo. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Evans Mtambi yalizinduliwa jana Juni 6, 2024 katika mnada wa Kiabakari kwa lengo la kuwainua kiuchumi wachoma nyama wadogo mkoani humo. Katika mashindano hayo…

Read More

RC Chalamila aonya wanafunzi elimu ya juu kuacha kulalamika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wanafunzi vyuo vikuu kuachana na utamaduni wa kulalamika, badala yake wawe mabalozi wazuri wa Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia ameiagiza Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (HELSB) kuweka kambi katika chuo hicho ili kuwasaidia wanafunzi kufuata taratibu zote za kuomba mikopo bila kukosea ili…

Read More