
Jeshi la Sudan laapa ”kujibu vikali’ shambulizi la RSF – DW – 07.06.2024
Katika taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, kundi la wanaharakati la Karari limesema kufikia sasa, idadi ya waliofariki Omburdman inakadiriwa kuwa raia 40 na majeruhi 50 baadhi wakiwa mahututi huku likilaumu kikosi hicho cha wanamgambo wa RSF kwa mashambulizi hayo. Soma pia:Jeshi la Sudan laapa kulipiza kisasi shambulizi la RSF lililoua watu 100 Shirika hilo…