
Bunge laibana Serikali magari ya zimamoto
Dodoma. Bunge limeazimia Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuweka utaratibu wa halmashauri kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kununua magari ya zimamoto, matengenezo ya magari hayo na vifaa vya zimamoto na uokoaji. Baada ya hoja kujadiliwa, Spika Dk Tulia Ackson alilihoji Bunge ambalo liliipitisha kwa asilimia 100. Azimio hilo linatokana na hoja…