
Wawakilishi wacharuka tatizo la maji, wapata hofu uchaguzi mkuu 2025
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameijia juu Wizara ya Maji, Nishati na Madini kutokana na tatizo kubwa la huduma ya maji na umeme. Hayo yamejiri leo Jumatano Juni 5, 2024 wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara hiyo baada ya kuwasilishwa na Waziri mwenye dhamana, Shaib Hassan Kaduara aliyeomba baraza…