
DKT.MPANGO AAGIZA KIBANO WASIOTII SHERIA YA MAZINGIRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Mazingira na Usimamizi wa Kijamii wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Bi. Zafarani Madayi kuhusu miradi mbalimbali ya upandaji miti pembezoni mwa Barabara wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika…