DKT.NCHEMBA ATETA NA RAIS WA CHINA EXIM BANK

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa katika Mkutano kwa njia ya mtandao jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank- China, Bw. Ren Shengiun (hayupo pichani) ambapo walijadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Waziri…

Read More

Benki ya Akiba yaahidi kuendelea kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba Commercial (ACB) imesema itaendelea kutunza na kuhifadhi mazingira kwa ajili ya urithi bora wa vizazi vijavyo. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, Meneja wa Benki ya Akiba Tawi la Dodoma, Upendo Makula, amesema amesema jitihada hizo zinakwenda sambasamba na kaulimbiu ya mwaka huu, isemayo…

Read More

Dk Mpango ataka kibano kwa wachafuzi wa mazingira

Dodoma. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameziagiza halmashauri nchini kusimamia ipasavyo sheria ndogo za mazingira na kuchukua hatua kwa wale watakaobainika kwenda kinyume na sheria hizo. Mbali na hilo , amesema takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2021/22 takribani eneo la kilometa za mraba la 95,793 zilichomwa,  huku mikoa Morogoro, Katavi na Lindi ikitajwa kuwa na…

Read More

Watahadharishwa kuhusu mikopo kausha damu

Na Mwandishi wetu, Kigoma Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Kanali Isack Mwakisu amewataka wananchi kukopa kwenye taasisi za fedha zilizosajiliwa na kutambulika kwa kuwa itasaidia kutatua changamoto zinazoweza kujitokeza kwa mkopaji kwa kuwa taasisi hizo zinaendeshwa kwa mujibu wa Sheria. Kanalı Mwakisu alitoa rai hiyo baada ya kukutana na wataalam wa Wizara ya…

Read More

Kenya yaunda kamati ya ushindi ya Odinga – DW – 05.06.2024

Kwenye hotuba ya pamoja kwa wanahabari, Waziri Mwandamizi ambaye pia ni waziri wa masuala ya kigeni, Musalia Mudavadi, amesema kuwa Rais William Ruto angali anampigia debeRaila kupata kiti hicho. Mudavadi amethibitisha kuwa kamati hiyo iliyoundwa inawajumisha washirika wa kisiasa wa Raila pamoja na maafisa wa serikali na lengo lake kubwa ni kusaidia mchakato wa kampeni….

Read More

Matumaini kwa watumiaji mafuta, bei ikiendelea kushuka

Dar es Salaam. Bei ya mafuta inatarajiwa kuendelea kushuka zaidi katika mwezi ujao kutokana na mwenendo wa soko la dunia, Chama cha Wauzaji wa Mafuta Tanzania (Taomac) kimeeleza. Mbali na matarajio ya bei kushuka, lakini bado uhaba wa Dola umeendelea kuwaumiza waagizaji hao, wakiamua kutumia Euro katika uagizaji. Kauli hiyo ya matumaini imetolewa baada ya…

Read More