Spika wa Zamani wa Bunge la Ukraine Andriy Parubiy Auwawa – Global Publishers
Last updated Aug 30, 2025 Spika wa zamani wa Bunge la Ukraine, Andriy Parubiy, ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa magharibi wa Lviv siku ya Jumamosi. Polisi na mamlaka za uchunguzi zimesema kuwa mshambuliaji alifyatulia risasi kadhaa na kimbia, na msako mkubwa umeanzishwa kumtafuta. Parubiy, mwenye umri wa 54, alikuwa…