PROF.KUSILUKA AWATAKA WATAALAMU WA MAZINGIRA UDOM KUREJESHA UOTO WA ASILI DODOMA.

  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka,akizungumza wakati wa  mdahalo ulioandaliwa na Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM  wenye kauli mbiu “Urejeshwaji wa Ardhi na Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame” uliohusisha wadau wa mazingira kutoka ndani na nje ya UDOM. Mkuuwa Idara ya Jiografia Dkt.Augustino Mwakipesile,akizungumza wakati…

Read More

Watu 13 wafariki ajarini Mbeya

Na Grace Mwakalinga, Mbeya Watu 13 wamefariki papo hapo na wengine 18 kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la mteremko wa Mbembela jijini Mbeya baada ya Lori lililokuwa limebeba shehena ya kokoto kufeli breki na kuparamia magari mawili, pikipiki na guta. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Benjamin Kuzaga…

Read More

Miti iliyopandwa kimakosa Iyasambwa yang’olewa

Mufindi. Katika kuadhimisha kilele cha siku ya Mazingira Duniani, Halmashauri ya Mji Mafinga Wilayani Mufindi, Iringa, imeng’oa miti iliyopandwa kimakosa katika chanzo cha maji cha Iyasambwe. Imeelezwa kuwa miti hiyo si rafiki kwa vyanzo vya maji kwa sababu inaweza kuvikausha vyanzo hivyo. Akizungumza baada ya kumaliza kazi hiyo leo Jumatano Juni 5, 2024 katika chanzo…

Read More

JAMII YATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA KUMLINDA MWANAMKE

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KARIBU asilimia 80% ya shughuli za kibinadamu zinasababisha mabadiliko ya hali ya hewa, hivyo Jamii imetakiwa kuhakikisha inatunza mazingira kwa kupanda miti na kuacha kukata miti hovyo  pamoja na kutunza vyanzo vya maji ili kupunguza mabadiliko ya tabianchi ambayo inaonekana kumuathiri kwa kiasi kikubwa mwanamke. Hayo yamebainishwa leo Juni 5,…

Read More