
93% ya uvuvi ni wavuvi wadogo
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema asilimia 93 ya uvuvi wote hapa nchini unategemea wavuvi wadogo na hivyo ni lazima uwe endelevu kwa manufaa ya sekta nzima. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akifungua Mkutano wa Kwanza wa Wavuvi kufanyika baranı Afrika sambamba na Maadhimisho ya miaka 10 ya mafanikio ya…