
Wizara nne kushughulikia vyanzo ukatili kwa watoto
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali inatarajia kuunda kamati maalumu itakayohusisha Wizara ya Katiba na Sheria, Mambo ya Ndani ya Nchi, Maendeleo ya Jamii na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kubaini vyanzo vya ongezeko la ukatili kwa watoto nchini. Akizungumza leo Juni 5,2024 wakati wa kongamano la kujadili utumikishwaji wa watoto Waziri…