
MHE. NDEJEMBI: SERIKALI ITANDELEA KUSIMAMIA HAKI NA USTAWI WA WENYE UALBINO
Na; Mwandishi Wetu – DODOMA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kulinda na kusimamia haki za Watu wenye Ualbino nchini ili kuwezesha kundi hilo kuwa na ustawi mzuri. Kauli…