
Mbaroni akidaiwa kumkata kichwa, viganja, nyeti mtoto wa kufikia
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia, Erick Julias (39) mkazi wa Mlimba wilayani Kilombero kwa tuhuma za kumuua na kumtenganisha kichwa pamoja na viungo vingine mtoto wake wa kufikia, Johnson Ngonyani (6). Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 4, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema pamoja na mtuhumiwa…