
SERIKALI YAFANIKISHA KUPATIKANA MAENEO 15 YA UCHIMBAJI KWA WANAWAKE GEITA
-Takriban Wanawake 300 walioahidiwa na Rais Samia kunufaika -Serikali kulipia Leseni hizo ada zote kwa kipindi cha awali Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema kuwa Serikali imefanikisha kupatikana kwa maeneo 15 ambayo yatatolewa leseni 15 kupitia Umoja wa Wanawake Wachimba Madini Mkoa wa Geita (GEWOMA) baada ya umoja huo kukamilisha usajili. Ameyasema hayo,…