Ulanguzi tiketi wapamba moto kwa abiria
Dar es Salaam. Wingi wa abiria wanaosafiri kutoka Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli kuelekea mikoa mbalimbali nchini umeibua mianya ya ulanguzi wa tiketi, hali inayowalazimu baadhi ya wasafiri kulipa nauli za juu kupita viwango halali. Ongezeko hili la mapema la abiria linachochewa na tetesi za maandamano yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9. Kwa kawaida, changamoto…