
Balozi wa Tanzania nchini Korea akanusha upotoshaji Tanzania kutoa sehemu ya bahari na madini
Balozi wa Tanzania nchini Korea, Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo kutoka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Togolani ameandika, “Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi,…