
Dk Biteko ang’aka vitengo vya mazingira kutotengewa bajeti
Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko amekerwa na watendaji wa vitengo vya mazingira kwenye wizara na taasisi kudhani kuwa hawana shughuli za kufanya na wakati mwingine kutotengewa bajeti. Akizungumza leo Jumatatu Juni 3, 2024 wakati akifungua maadhimisho ya Wiki ya Mazingira, Dk Biteko amesema kazi utunzaji wa mazingira imeachiwa na…