
Hivi ndio vipaumbele Wizara ya Afya Zanzibar
Unguja. Wizara ya Afya imeainisha vipaumbele 10 itakavyotekeleza katika bajeti ya mwaka 2024/25 ikiwamo kupunguza vifo vya mama wajawazito kutoka vifo 145 kwa kila vizazi hai 100,000 kwa mwa 2023/2024 na kufika vifo 123 kwa kila vizazi hai 100,000. Kadhalika, kupunguza vifo vya watoto wachanga kutoka vifo 28 kwa kila vizazi hai 1000 na kufikia vifo 26 kwa kila vizazi hai 1000. Kwa mujibu wa…