
MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA 45 WAPIGA KAMBI YA SIKU5 KUTOA HUDUMA YA KIBOBEZI KWA WANANCHI MKOANI PWANI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Juni 3 MADAKTARI Bingwa wa mama Samia 45 wamepiga kambi Mkoani Pwani ,kwa siku tano ili kutoa huduma za afya za kibobezi kwa magonjwa mbalimbali ikiwemo ya njia ya uzazi na watoto. Aidha watatoa huduma kwa wagonjwa ya wanawake ,dawa za usingizi ,upasuaji wa kibobezi, magonjwa ya kawaida na…