Rais Samia kujenga chuo cha masuala ya anga

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ana nia ya kujenga chuo cha masuala ya anga nchini kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu wakati wa shughuli ya Kutunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) katika sekta ya anga na…

Read More

Ahukumiwa miaka 10 jela kwa kuua bila kukusudia

Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ndogo ya Bukoba iliyoketi Karagwe, imemhukumu kifungo cha miaka 10 jela, Edson Aron baada ya kumkuta na hatia ya kumuua bila kukusudia Philemon Thadeo, kwa kumkata na panga kichwani na mkononi.  Edson alimuua Thadeo baada ya kutokea  kutokuelewana katika mazungumzo yao na kusababisha mapigano kati yao. Imeelezwa kuwa, Thadeo…

Read More

AGIZO LA WAZIRI SILAA LA KUHAMISHIA HUDUMA ZA ARDHI OFISINI KWAKE LAANZA KUTEKELEZWA DODOMA

Wananchi wakisubiri kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi inayoendelea jijini Dodoma leo (jana).Viongozi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiongozwa na Katibu Mkuu Mhandisi Anthony Sanga wakiwahudumia wananchi wakati wa zoezi la Kliniki ya Ardhi inayoendelea jijini Dodoma.Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga akiongea na…

Read More

PIA yaipa mamilioni THRDC uimarishaji haki za kiraia

SHIRIKA la Protection International Africa (PIA), limeiongezea  mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Euro 122,440 (Sh. 34.5 milioni), Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa ajili ya ukuzaji nafasi ya kiraia na usawa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotoleo leo tarehe 3 Juni 2024, mkataba huo…

Read More

Uchaguzi Afrika Kusini waiweka ANC njiapanda

Johannesburg. Uchaguzi wa Afrika Kusini ukiwa umekamilika baada ya kuchagua wabunge 400, kwa mara ya kwanza katika miaka 30 ya utawala wa kidemokrasia, hakijapatikana chama kinachoweza kuunda Serikali pake yake. Mtihani mgumu upo kwa Chama tawala cha African National Congress (ANC) kilichopata asilimia asilimia 40.18, baada ya kunyakua viti 159 katika Bunge la Taifa, kwa…

Read More

BRELA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUJISAJILI ILI KUCHANGAMKIA FURSA KIBIASHARA

Afisa Sheria za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (Brela) Lupakisyo Mwambiga wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonyesho ya 11 ya Biashara na Utalii yanayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Usagara Jijini Tanga. Na Oscar Assenga,TANGAWAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA) umewataka wafanyabiashara kuchangamkia fursa ya kujisajili…

Read More

Maelfu wahamishwa kusini mwa Ujerumani kufuatia mafuriko – DW – 03.06.2024

Tahadhari hiyo imetolewa wakati maelfu ya watu wakihamishwa na wengine wakilazimika kuyaacha makaazi yao baada ya kutokea mafuriko makubwa mwishoni mwa juma.  Maafisa wa uokoaji wanaendelea na zoezi la kuwahamisha watu kutoka maeneo yaliyokumbwa na mafuriko katika eneo hilo la kusini mwa Ujerumani huku Kansela Olaf Scholz akieleza kuwa, mafuriko hayo yanapaswa kuchukuliwa kama tahadhari….

Read More