
Vodacom Tanzania yaibuka kidedea katika tuzo za kidijitali
KAMPUNI inayoongoza kwa huduma za teknolojia na mawasiliano nchini ya Vodacom, imetunukiwa tuzo na Kampuni ya Serengeti bytes kupitia programu ya Tanzania Digital Awards katika wiki ya ubunifu (Innovation week). Kampuni hiyo ya Vodacom imejishindia tuzo katika vopengele vitano ambavyo ni: · Kampuni bora ya simu nchini · Kampuni ya simu inayotoa huduma bora zaidi…