
Majaliwa awataka wananchi kujiepusha na mikopo umiza
Geita. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wajasiriamali wadogo nchini, kutumia majengo ya uwezeshaji wananchi kiuchumi yaliyojengwa kwenye baadhi ya Halmashauri kupata elimu ya kuanzisha biashara na kupata mikopo kwa riba nafuu, ili kuondokana na mikopo umiza. Akizungumza leo Jumapili, Juni 2, 2024, Majaliwa amesema uwepo wa vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi, itawahamasisha kujiunga…