
Sekta ya fedha yawakumbuka wafugaji
Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua akaunti ya mfugaji mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini. Huduma hiyo ya kwanza kutambulishwa na benki hiyo nchini imeanzishwa maalumu kwa kundi hilo, pamoja na kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta hiyo kupitia huduma za fedha zilizorahisishwa. Akizungumza Leo Jumapili Juni 2, 2024…