
RC SHIGHELLA AHIMIZA JAMII UTAMADUNI WA UPANDAJI MITI
Mkuu wa mkoa wa geita, mhe. Martine Shighella akipanda mti katika eneo la Hospitali ya Rufaa Kanda ya Chato wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya usafi wa mazingira tarehe 1 juni, 2024. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mhe. Said Mkumba na Mbunge wa Chato, Mhe. Medard Kalemani Na Mwandishi Wetu,Chato- Geita…