Zuma atoa onyo iwapo IEC itatangaza matokeo ya uchaguzi leo

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametishia kuchukua hatua ya kisheria ya kuizuia Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo (IEC) kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu leo Jumapili kama ilivyoratibiwa. Zuma alitoa onyo hilo jana, baada ya chama chake cha Mkhonto weSizwe (MK) kutaka uchaguzi huo ufanyike upya, kikidai kuwa tayari kimewasilisha ithibati na vielelezo…

Read More

Dk. Biteko apongeza mikakati ya kuinua elimu Dodoma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko amepongeza Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM) pamoja na uongozo wa Jiji la Dodoma kwa mikakati ya kuboresha na kukuza elimu iliyosheheni ubunifu.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Dk. Biteko ametoa pongezi hizo leo  Jumamosi wakati akifungua mkutano wa wakuu wa Shule za msingi na sekondari na…

Read More

Matatizo ya mzazi yanavyoweza kumuathiri mtoto

“Licha ya kwamba familia yetu haina uwezo, nilikuwa na amani kuishi na mama yangu, sikujali magumu tuliyopitia, lakini siku alipoamua kutoweka ghafla baada ya kuzidiwa na madeni maisha yangu yalianza kuharibika.” Hayo ni maneno ya Amina Salum, mwanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Mashujaa, akiwa miongoni mwa wanafunzi walioondolewa kwenye hatari ya…

Read More

WAZIRI MKUU AAGIZA UANZISHWAJI WA MADAWATI YA SAYANSI, TEKONOLOJIA NA UBUNIFU KWENYE HALMASHAURI

Raisa Said,Tanga WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote nchini, kuhakikisha kwenye maeneo yao zinaanzisha madawati ya sayansi,teknolojia na ubunifu, ili kuweza kukuza na kulea bunifu mbalimbali katika halmushauri kwa vijana waliopo kwenye sehemu hizo. Hayo aliyasema.wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kitaifa ya elimu,ujuzi na ubunifu 2024 ,yaliofanyika mkoani Tanga. Alisema kwa kufanya hivyo…

Read More

DKT.BITEKO AMPONGEZA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWEKA  MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt.Dotto  Biteko,akizungumza katika mkutano wa Teachers’ Breakfast Meeting uliowakutanisha walimu na maafisa elimu wa wilaya ya Dodoma Mjini wenye lengo la kuboresha ufaulu jiji la  Dodoma  ulioandaliwa na Ofisi ya Mbunge wa Dodoma Mjini, Mhe.Anthony Mavunde,hafla iliyofanyika leo Juni 1,12024 jijini Dodoma. Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof….

Read More

Wazazi washuhudia vipaji vya watoto wao

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Wazazi wa wanafunzi wa shule ya chekechea ya Busy Bees wamefurahishwa na vipaji vilivyooneshwa na watoto wao wakati waliposhindana katika michezo mbalimbali ikiwamo soka. Wanafunzi hao wameshiriki michezo hiyo leo Juni Mosi, 2024 Upanga, jijini Dar es Salaam katika siku maalumu ya michezo ‘Annual Sports Day’ inayoandaliwa na uongozi wa…

Read More

Wataka wajumbe kuondolewa uchaguzi wa madiwani, wabunge CCM

Babati. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimechukua na kinakwenda kufanyia kazi mapendekezo ya wanachama wake mkoani Manyara wanaotaka wagombea udiwani na ubunge kuchaguliwa na wanachama na si wajumbe. Ushauri huo wameutoa leo Jumamosi, Juni 1, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika stendi ya zamani ya Babati Mjini, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk…

Read More