
Usajili matibabu bure kwa makundi maalumu mbioni
Unguja. Wasimamizi wa jumuiya zinazohudumia kaya masikini na watoto yatima, wametakiwa kusimamia kikamilifu usajili wa kundi hilo katika Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF) ili kuwarahisishia kupata matibabu. Pia, wadau wa maendeleo na watu wenye uwezo, wameombwa kujitokeza kuchangia mfuko huo kulisaidia kundi hilo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa ZHSF, Yaasin Ameir Juma ametoa kauli…