Wawakilishi wacharuka utalii kupewa fedha kidogo

Unguja. Wakati Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale, ikiainisha vipaumbele vinane katika mwaka wa fedha 2024/25, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameonyesha wasiwasi,  kutokana na upatikanaji wa fedha kidogo katika bajeti ya mwaka unaoisha wa 2023/24 ilhali sekta hiyo ndiyo msingi mkuu wa mapato ya Taifa. Katika bajeti hiyo, kwa programu zake zote nne…

Read More

Sababu uchaguzi TLS kukosa ‘hamasa’

Dar es Salaam. Wakati Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ikiongeza muda wa siku saba kutoa nafasi kwa wanachama zaidi kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho, baadhi ya mawakili wameeleza sababu ya uchaguzi huo kudorora ikiwamo mabadiliko ya sheria ya chama hicho.  Sababu nyingine imetajwa kuwa ni kuchoshwa…

Read More

ANC kinavyoshinda kwa jasho uchaguzi Afrika Kusini

Dar es Salaam. Ikiwa ni siku ya tatu kwa taifa la Afrika Kusini kuendelea kuhesabu matokeo ya uchaguzi,  chama tawala cha African National Congress (ANC) kimeendelea kutokwa na jasho katika uchaguzi huo kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu 1994.  Hili linatajwa kuwa ni anguko kubwa kwa ANC licha ya kuongoza kwa zaidi ya asilimia 40 ya…

Read More

Aomba kura kwa kumwaga dua kwa wajumbe, apenya

Mwanza. Mungu hamtupi mja wake. Ndivyo unavyoweza kuelezea ushindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti alioupata Mariam Mashibe baada ya kuanza kuwaombea wajumbe zaidi ya 300 kisha kutaja sera zake na kuomba kupigiwa kura. Mariam ambaye ni mkulima wa pamba na mazao mchanganyiko wilayani Kwimba, alikuwa miongoni mwa wagombea 13 wa nafasi tano ya ujumbe wa…

Read More