Serikali ya mseto yanukia Afrika Kusini baada ya ANC kuanguka

Vyama vya siasa nchini Afrika Kusini, vimeanza mazungumzo ya kujaribu kutengeneza muungano utakayowezesha kuunda Serikali ya mseto. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatua hiyo inakuja wakati huu chama tawala cha ANC kikionekana kupoteza idadi kubwa ya viti kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 30. Licha ya kuwa chama hicho cha muasisi wa…

Read More

Mitambo ya umeme Kidatu na Mtera kufanyiwa ukarabati

Ifakara. Katika kuhakikisha kuwa Umeme unapatikana kwa uhakika Naibu Waziri Mkuu Dk Doto Biteko amesema Serikali imeanza ukarabati wa mitambo ya kufua umeme katika kituo cha Kidatu na Mtera mkoani Dodoma. Dk Biteko amesema hayo leo Jana Mei 31, 2024 wakati wa uzinduzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme kwenye gridi ya Taifa  kilichopo…

Read More

Dk. Mpango aongoza zoezi la usafi Ilala, atoa maagizo 5

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango leo Jumamosi ameongoza viongozi pamoja na wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam katika zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika soko la Ilala linalotumika kwa biashara mbalimbali ikiwa ni kuelekea katika maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza baada ya kufanya usafi, Makamu…

Read More

Dk Mpango ataka punguzo bei ya gesi

Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameziomba kampuni za gesi nchini kupunguza bei ili Watanzania wengi waweze kutumia nishati safi. Dk Mpango amebainisha hayo jana Mei 31, 2024 alipohudhuria kongamano lililoandaliwa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) jijini Dar es Salaam. “Kama wadau wetu, tutazidi kuwaomba muendelee kupunguza…

Read More

PSG na Kvaratskhelia wanakubali masharti ya kibinafsi lakini Napoli bado wanahitaji kushawishika.

Paris Saint-Germain na Khvicha Kvaratskhelia (23) wamekubaliana masharti ya kibinafsi, kulingana na ripoti ya L’Équipe. Hata hivyo, kuweka kalamu kwenye karatasi na kumsajili winga huyo wa Georgia bado ni kazi ngumu kwa mabingwa hao wa Ufaransa, kwani wanatazamia kuwashawishi wenzao wa Neapolitan. Nyota huyo wa Napoli anasalia kuwa shabaha kuu ya PSG msimu huu wa…

Read More