
MWENEZI MRAMBA AJA KIVINGINE NA MBIO ZA SAMIA ONE MARATHON PWANI
NA VICTOR MASANGU, PWANI Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani ndugu David Mramba katika kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza sekta ya michezo anatarajia kuanzisha mashindano maalumu ya mbio za miguu zitakazojulikana kwa jina la Samia One Marathon…