
Shahidi aeleza bosi wake alivyoshikiliwa saa saba, Polisi wakimbana awapatie mamilioni
Dar es Salaam. Shahidi wa tatu katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kuiba Sh90 milioni, Jones Rugonzibwa (57) ameeleza jinsi alivyoshuhudia bosi wake akilia muda mfupi, baada kuachiwa na askari ambao walikuwa wamemshikilia kwa zaidi ya saa saba eneo la Kurasini, wakishinikiza awapatie fedha. Rugonzibwa ameyasema hayo leo Mei 31, 2024 katika Mahakama…