
Rais Samia asikubali kurejea ya Magufuli
HAKUNA shaka kuwa uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliopangwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, umeanza kugubikwa na utata na ikiwa mamlaka hazitakuwa makini, hakika waweza kuvurugika. Anaandika Oliver Mwikila … (endelea). Hii ni kwa sababu, hata kabla ya uchaguzi wenyewe kuanza kufanyika, tayari kumeibuka utata unaotokana na kuwapo sheria tatu…