
Wazalishaji wa vyakula vya mifugo wapewa onyo, sheroa kuwakabili.
Serikali imewataka wazalishaji na wasambazaji wote wa rasilimali na vyakula vya wanyama kuhakikisha vyakula na viwanda vyao vimekaguliwa na kufikia na ubora na usalama unaohitajika. Hayo yamesemwa leo (31/05/2024) jijini Arusha wakati wa kuhitimishwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ya wakaguzi wa vyakula vya Mifugo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Wakala…