
MAGU KINARA MASHINDANO YA UMITASHUMTA MKOA WA MWANZA, YABEBA VIKOMBE 13
Mkuu wa Wilaya ya Magu , akipokea zawadi ya kombe la mshindi wa jumla mashindano ya ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Mshingi Tanzania (UMITAMSHUMTA) kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Mwanza zilizoshiriki mashindano hayo leo Ijumaa Mei 31,2023. …………. Halmashauri ya Wilaya ya Magu imeshika nafasi ya kwanza kimkoa…