
Bunge lapitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi asilimia100.
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege. Jana Mei 29,2024 Waziri Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliwasilisha makadirio ya bajeti ya kiasi hicho kwa…