Waziri Mkuu kufanya ziara ya siku tatu Geita

Chato.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu mkoani Geita kuanzia Mei 31, hadi Juni 02, 2024. Lengo la ziara hiyo ya kikazi ni kushiriki Wiki ya Mazingira inayotarajiwa kuanza Juni mosi mwaka huu. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari leo Alhamisi Mei 30, 2024 wilayani Chato, Mkuu wa Mkoa wa Geita,…

Read More

Spika Bunge la Uganda apigwa marufuku kukanyaga Marekani

Kampala. Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among ni miongoni mwa vigogo  watano nchini humo walipigwa marufuku kuingia nchini Marekani kwa madai ya kuhusika na ufisadi na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Matthew Miller leo Mei 30, 2024 imesema, vigogo hao wanatuhumiwa…

Read More

SERIKALI YAELEZA NAMNA WALIMU WAPYA WATAKAVYOAJIRIWA

Na Oscar Assenga, TANGA SERIKALI imetangaza mkakati wa uboreshaji wa elimu nchini huku ikieleza walimu ambao wataajiriwa ni wale wataokuwa wamefanya mitihani yao na kufaulu vizuri tofauti na ilivyokuwa awali ambapo wizara ilikuwa ikijaza nafasi zilizokuwa zikihitajika bila kupitia mchakato huo . Mkakati huo wa serikali umetangazwa na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia  Profesa  Adolf…

Read More

Manchester United wanakabiliwa na kigugumizi katika harakati za kumtafuta Jarrad Branthwaite.

Everton haitazingatia mikataba yoyote ya bei iliyopunguzwa kwa Jarrad Branthwaite msimu huu wa joto. Iliripotiwa jana Manchester United wako katika nafasi nzuri ya kumfanya beki huyo wa Everton kuwa usajili wao wa kwanza msimu huu wa joto, huku Sir Jim Ratcliffe akijiandaa kufanya mazungumzo ya bei nafuu yenye thamani ya £40m. Everton wanashikilia msimamo thabiti…

Read More

Arsenal na Benjamin Sesko mambo safi.

Benjamin Sesko ‘amekubali’ uhamisho wa Arsenal msimu huu wa joto huku Gunners wakipanga kumnunua mshambuliaji wa RB Leipzig kwa pauni milioni 45. Mshambulizi wa RB Leipzig Benjamin Sesko anaripotiwa kupendelea kuhamia Arsenal msimu huu wa joto. Kikosi cha Mikel Arteta kina nia ya kuimarika katika safu ya ushambuliaji katika msimu wa mbali huku Gabriel Jesus…

Read More

Sintofahamu fidia mradi wa bomba la mafuta EACOP

Dar es Salaam. Wakati wananchi wa Manyara wakilalamika kulipwa fidia ndogo waliyolipwa kupisha ujenzi wa Bomba la  Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema malipo hayo yamezingatia taratibu zote za ulipaji fidia za kitaifa na kimataifa. Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi, Mei 30, 2024 Mkurugenzi wa TPDC,  Musa…

Read More