
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto; Niko Tayari Kushirikiana na VETA
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Japhari Kubecha akizungumza na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa VETA Dora Tesha wakati alipotembelea Banda la VETA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal Mjini Tanga. Na Chalila Kibuda,Tanga MKUU wa Wilaya ya Lushoto Japhari Kubecha amesema kuwa kama Serikali wako…