
Waathirika wa mafuriko Rufiji wapewa mbegu za mahindi
Rufiji. Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani Sh50 milioni, kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Benki hiyo imekabidhi kilo 7,148.857 za mbegu za kisasa za mahindi, zitakazosambazwa kwa wananchi ili wazitumie katika msimu ujao wa kilimo ili kuhakikisha wanakuwa na chakula cha…