
Aliyembaka, kumuua mtoto wa miaka nane ahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ndogo ya Manyara iliyoketi Mbulu imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Dumbeta, Paskali Qamara kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumuua kwa kumnyonga, mtoto mwenye umri wa miaka minane. Hukumu hiyo imetolewa Mei 27, 2024 na Jaji John Kahyoza baada ya kubaini ushahidi wa mashahidi…