
MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA TANO KUANZA JULAI 1
Na Gideon Gregory, Dodoma. Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekamilisha zoezi la Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga na Kidato cha Tano katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Elimu ya Ufundi vya Serikali kwa mwaka 2024 ambapo Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka…