
Msigwa afunguka baada ya kuangushwa na Sugu
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa, amempongea Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kichaguliwa kurithi mikoba yake, katika uchaguzi uliofanyika Jana tarehe 29 Mei 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza baada ya matokeo hayo kutangazwa jana Jumatano, Msigwa amesema siasa ni mchezo wa kuingia na kutoka…