
Kauli za wadau mjadala wa uendeshaji vivuko nchini
Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu uendeshaji wa vivuko nchini, wengine wakishauri ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza vibinafsishwe kwa sekta binafsi, huku wengine wakipinga. Hayo yameelezwa leo Mei 29, 2024 kwenye mjadala ulioendeshwa na Mwananchi Space, ukiwa na mada isemayo ‘Nini kinaweza kuwa suluhu ya changamoto inayoikabili Temesa kuhusu huduma…