
Israel kuendeleza vita Gaza hadi mwishoni mwa mwaka 2024 – DW – 29.05.2024
Mshauri wa masuala ya usalama wa kitaifa wa Israel Tzachi Hanegbi amesema vita hivyo huenda vikadumu kwa miezi saba zaidi na kwamba mapigano yataendelea hadi pale watakaposambaratisha uwezo wa kijeshi na kiutawala wa kundi la Hamas na kundi dogo la wanamgambo wa Islamic Jihad. Wapalestina huko Rafah wameripoti hii leo mapigano makali katika mji huo…