
Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi
Tanzania imeshinda tuzo ya Jumuiya ya Habari Duniani ya Mwaka 2024 (WSIS 2024) nchini Uswisi, iliyokabidhiwa kwa Rais wa Internet Society Tanzania, Bw. Nazar Nicholas na Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Dunia (ITU) Doreen Bogdan-Martin huku Waziri mwenye dhamana ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) akishuhudia. Tuzo hiyo…