
DRC yatangaza baraza lake jipya la mawaziri la watu 54 – DW – 29.05.2024
Miongoni mwa manaibu sita wa waziri mkuu, Jean-Pierre Bemba amepewa wizara ya uchukuzi na hivyo kuiacha wizara ya ulinzi itakayoongozwa sasa na Guy Kabombo Mwadiambita anayeingizwa serikalini kwa mara ya kwanza. Jean-Pierre Lihau anabaki na wizara ya kazi za umma, huku watu wawili wapya maarufu wakiingia serikalini. Nao ni Guylain Nyembo aliyekuwa mkuu wa…