DK.ASHA-ROSE MIGIRO AAHIDI CCM KUFANYA KAMPENI ZA KISTAARABU UCHAGUZI MKUU
Na Mwandishi Wetu,Ngerengere KATIBU Mkuu wa Chama Cua Mapinduzi(CCM) Balozi Dk.Asha -Rose Migiro amewahakikishia Watanzania kuwa Chama hicho kimejipanga kuhakikisha kinafanya kampeni za kistaarabu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Balozi Dk.Migiro amesema hayo Agosti 29,2025 katika Uwanja wa Njia Nne uliopo Kata ya Ngerengere mkoani Morogoro wakati wa mkutano wa kampeni…