Baada ya miaka 20, Kalito atamani kuwa Mtanzania

Dar es Salaam. Safari ya Miaka 20 ya mburudishaji Carlos Bastos Mella ambaye yupo nyuma ya maeneo mengi ya burudani jijini Dar es Salaam, ameshauri kuanzishwa shule za upishi na usimamizi wa hoteli nchini ili kuongeza ufanisi katika tasnia hiyo. Carlos Bastos Mella, anayejulikana kama “Kalito,” ni raia wa Hispania kwake ilikuwa kama bahati ya…

Read More

Kampuni za Ufaransa zatua nchini kusaka fursa za uwekezaji

Dar es Salaam. Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka kampuni 22 wakiambatana na maofisa wa serikali kutoka nchini Ufaransa, wapo nchini kutafuta fursa mpya za biashara katika sekta nishati, miundombinu, utalii, usafirishaji na uendelezaji wa miji. Ujio wa wafanyabiashara hao, unakoleza uhusiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Ufaransa ambao sasa unalenga kuchochea ushirikiano kwenye ubunifu, Pia…

Read More

MUHIMBILI KINARA UPANDIKIZAJI ULOTO KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA

    Hospitali ya Taifa Muhimbli-Upanga na Mloganzila imeendelea kuandika historia Afrika Mahariki na Kusini mwa Jangwa la Saraha katika matibabu ya ubingwa bobezi kwa Kupandikiza Uloto kwa wagonjwa waliokuwa na saratani ya damu. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma ya Upandikizaji…

Read More

Rodrigo apuuzia uzushi wa kuhama Real Madrid.

Nyota wa Real Madrid aliyekadiriwa kuwa na thamani ya Euro milioni 100, Rodrigo, amepuuza uvumi wa kujiondoa kufuatia kauli yake ya hivi majuzi. Rodrigo, fowadi wa kimataifa wa Uhispania anayeichezea Real Madrid kwa sasa, amepuuzilia mbali uvumi unaomhusisha na kuondoka katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Katika mahojiano na AS, gazeti maarufu la michezo la Uhispania,…

Read More