
Umewahi kuwasikia wapiga debe wa kukupeleka ‘gesti’
Mbeya. Wakati wapiga debe kwa baadhi ya mikoa wakiwa wanalalamikiwa kuwabughudhi abiria katika vituo vikuu vya mabasi, hali ni tofauti mkoani Mbeya kwani wamekuwa mkombozi kwa abiria wanaofika kituoni hapo. Hii ni kutokana na mbali ya kupiga debe kwenye mabasi lakini pia wamekuwa msaada katika kuwatafutia wageni wanaofika mkoani hapo nyumba za kulala wageni. Wakizungumza…