TEKNOLOJIA MBADALA KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA NCHINI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Teknolojia mbadala kuimarisha mtandao wa barabara ikiwemo ujenzi wa madaraja imara na madhubuti itaendelea kutumiwa nchini na Wakala ya Barabara za Vijijini na Vijijini – TARURA. Yameelezwa hayo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhandisi Rogatus Mativila mbele ya waandishi wa habari katika banda la maonesho…

Read More

RUWASA yachongewa tena Songwe, mradi wa mil. 300 wakwama

WANANCHI wa vitongoji vilivyopo kijiji cha Ngwala wilayani Songwe mkoani hapa, wamemuomba mkuu wa mkoa huo, Danie Chongolo kukwamua mradi wa maji ambao umegharimu fedha zaidi ya Sh 300 milioni. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Wananchi hao wameyasema hayo leo tarehe 28 Mei 2024 katika mkutano wa hadhara uliongozwa na mkuu wa mkoa kwenye kijiji…

Read More

Fedha zilivyokwamisha miradi Wizara ya Kilimo  Z’bar

Unguja. Upatikanaji wa fedha kidogo katika Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo umetajwa kuwa sababu ya wizara kushindwa kutekeleza miradi iliyoidhinishiwa fedha katika bajeti ya mwaka 2023/24. Kutokana na hilo, Kamati ya Kilimo, Biashara na Utalii imeitaka Serikali kuhakikisha inatoa fedha zinazopangwa kuiwezesha wizara kutekeleza majukumu yake. Katika Bajeti ya mwaka 2023/24 Wizara hiyo…

Read More

IGP WAMBURA AKUTANA NA RC MTAKA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Mei 28,2024 ambapo waliweza kujadiliana masuala mbalimbali hususani eneo la usalama katika Mkoa huo wa Njombe. IGP Wambura amefanya ziara ya kikazi mkoani humo na kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo…

Read More

Wajumbe kuamua hatima ya  Sugu, Msigwa kesho

Dar es Salaam. Baada ya tambo za siku 12, kesho watajulikana viongozi wa Chadema kwa nafasi za mwenyekiti na makamu wake katika kanda za Nyasa, Magharibi na Serengeti. Kanda hizo zinaundwa na mikoa ya Mara, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Katavi, Kigoma, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe na Rukwa. Uchaguzi katika Kanda ya Nyasa utaamua ama Mchungaji Peter…

Read More

SPIKA TULIA AIPA KONGOLE TEMESA

  Na. Alfred Mgweno (Dodoma) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson ametoa pongezi kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kwa kuendelea kufanya maboresho katika utoaji wa huduma zake upande wa karakana ambapo moja ya maboresho makubwa aliyoyashuhudia ni uanzishwaji wa karakana inayotembea ambayo inatoa huduma mahala…

Read More

Wakazi 12 wa Ifakara-Morogoro wafikishwa mahakamani kwa kuongoza genge la uhalifu kujipatia pesa

Wakazi 12 wa Ifakara mkoa wa Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia pesa shilingi millioni 10 kwa njia ya udanganyifu. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Ushindi Swalo ambapo Wakili wa Serikali…

Read More

DC aagiza wanakijiji kuunda Sungusungu kudhibiti mauaji

MKUU wa wilaya ya Songwe mkoni hapa, Solomon Itunda ameagiza baadhi ya vijiji wilayani humo kuunda vikundi vya ulinzi shirikishi (Sungusungu) ili kupunguza vitendo vya uhalifu vinavyosababisha mauaji hususani katika hasa kata ya Ngwala. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Itunda ameyasema hayo leo tarehe 28 Mei 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Ngwala…

Read More