Diaspora watuma trilioni 2, sasa kupewa hadhi maalumu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema Diaspora wana umuhimu mkubwa kutokana na mchango wao katika maendeleo ya Taifa kwani mwaka 2023, walituma fedha nyumbani kiasi cha Dola za Marekani 751.6 milioni (Sh 1.9 trilioni). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi  ya…

Read More

Atupwa jela miaka 30 kwa kuwabaka watoto watatu

Morogoro. Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka 90 ,  mkulima Leonce Athanas Matea maarufu kwa jina la Alaji (55), mkazi wa Chicago A’ Kata ya Kidatu wilayani humo,  baada ya kumtia hatiani kwa makosa matatu ya ubakaji wa watoto watatu. Hata hivyo, mkulima huyo atatumikia kifungo hicho  kwa miaka 30,…

Read More

WIZARA YA UJENZI IMEJIPANGA KURUDISHA MIUNDOMBINU ILIYOHARIBIKA: BASHUNGWA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua za El-Nino. Akizungumza na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo tarehe 28 Mei 2024 kwenye maonesho ya wizara na taasisi zake, Bashungwa…

Read More

Wanaobeba watalii Waaswa Kuchachu ya Taswira ya Arusha.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuimarisha ulinzi wa Mkoa huo ambao ndio kitovu cha utalii hapa nchini huku likibanisha kuwa leo limeendelea na utoaji elimu kwa madereva wanao pokea na kutoa huduma ya usafiri kwa wageni wanafika Mkoani humo kwa ajili kutalii. Akiongea mara baada ya kikao hicho na wadau wa usafirishaji…

Read More

Makamba ataja faida 10 ziara za viongozi nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema katika kipindi cha Julai 2023 hadi Aprili 2024, wizara hiyo iliratibu ziara 31 za viongozi wakuu wa kitaifa nje ya nchi na kuleta manufaa mbalimbali nchini ikiwamo kufungua milango ya kiuchumi kupitia uhusiano wa kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia amesema…

Read More

SERIKALI KUTUMIA VIKAO RASMI KUTOA ELIMU YA FEDHA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Bw. Isaya Mbenje, akizungumza na Timu ya Wataalamu ya Wizara ya Fedha (haipo pichani) ambayo ilifika ofisini kwake kujitambulisha na kuelezea njia watakazo tumia kufikisha elimu ya huduma ndogo za fedha katika Wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Baadhi ya Wananchi wa Kisiwa cha Bumbire wakiangalia filamu yenye mada…

Read More

Miamba itakavyoshindana uchaguzi Afrika Kusini

Mei 29, 2024 wananchi wa Afrika Kusini watapiga kura katika uchaguzi mkuu wa saba wa kidemokrasia wa nchi hiyo, tangu ubaguzi wa rangi ulipoisha mwaka wa 1994. Ni uchaguzi unaotarajiwa kuwa mgumu kwa chama tawala cha African National Congress (ANC) ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka 30, huku kikiwa hatarini kukosa asilimia 50 ya kura ili…

Read More