
JK KINARA UTAFUTAJI FEDHA ZA KUIMARISHA ELIMU AFRIKA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya tarehe 26 – 28 Mei, 2024. Ametumia fursa ya kushiriki Mkutano huo kuzungumza na vongozi mbalimbali,…